JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wanaouza bei ya sukari isiyo halali kukiona

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bodi ya Sukari Tanzania imewataka wafanyabiashara wanaouza na bei ya sukari isiyo halali kuacha mara moja na kwamba hatua kali za kisheria dhidi yao. Agizo hilo limetolewa leo Januari 18, 2024 jijini Dar…

Wachezaji Stars: Bado tuna nafasi ya kutoboa AFCON

Na Isri Mohamed Dakika 90 za mchezo wa kwanza kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Morocco kwenye michuano ya AFCON zimemalizika kwa matokeo ya kikatili kwa Stars kupoteza kwa mabao 3 kwa Nunge. Mchezo huo umemalizika…

Dalili 10 za mwanaume anayekupenda kweli

Miongoni mwa mambo yanayowatesa mabinti wengi ni kutokujua ni mwanaume gani hasa anayempenda kwa dhati, kwa sababu kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na ‘tapeli’. Ungana na mimi mwandishi wako Isri Mohamed Anakuweka karibu na Mungu…

Gardiel Michael huyo kwa Madiba

Nyota na nahodha wa timu ya Singida Foutain Gate, Gardiel Michael Kamagi,  ametimkia zake kwa Madiba nchini Afrika Kusini kujiunga na timu ya Cape Town Stars kwa mkataba wa miaka miwili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Singida…

Taasisi za umma Kongwa zahimizwa kuwa na mipango ya matumizi ya ardhi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon Mayeka amezielekeza Taasisi za Umma Wilayani Kongwa kuwa na mipango ya muda mrefu ya matumizi ya ardhi, itakayowezesha uhifadhi wa mazingira. Aidha amewataka wananchi kushiriki kwenye shughuli za…