JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Majaiwa : Sh.Trilioni 10 zatrumika ujenzi wa SGR

Serikali imetumia kiasi cha shilingi  trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa yenye urefu wa kilometa 1,219 kuanzia Dar es Saalam hadi Mwanza. Hayo yamesemwa jana Bungeni na Waziri Mkuu Kassim Majalwa wakati akisoma…

Mbarawa apokea vichwa vitano vya treni ya umeme, TRC yajiweka sawa

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa amepokea seti ya kwanza ya vichwa vitano vya treni ya umeme EMU,maarufu mchongoko na mabehewa matatu ya abiria vyenye thamani ya Dola za Marekani mil 190. Ameyasema hayo…

Bilionea Laizer anyan’ganywa njia ya mgodi Mererani, wachimbaji 580 wakosa ajira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mererani Rais Samia Suluhu Hassan ameombwa kuingilia kati, mgogoro wa kufungwa njia ya mgodi wa bilionea Saniniu Laizer ambao mwaka 2020 ulivunja rekodi ya kutoa madini makubwa zaidi ya Tanzanite tangu kugunduliwa madini hayo miaka zaidi…

Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani yaua 12 Sudan

Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani liliua watu 12 na kujeruhi wengine 30 Jumanne katika mji wa kaskazini mashariki mwa Sudan wa Atbara, ambapo kufikia sasa, kulikuwa kumeepuka vita vya kikatili, madaktari na mashahidi wameliambia shirika la habari la AFP….