JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Diplomasia ya Tanzania yazidi kung’ara kimataifa

Diplomasia ya Tanzania imezidi kung’ara kimataifa kufuatia viongozi wakuu kutoka mataifa mbalimbali kufanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha na kudumisha uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na mataifa hayo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Bashe ataja sababu ya upungufu wa sukari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na mvua za El-nino zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Amesema mvua hizo zimeathiri hali…

Mvua ya upepo yaezua nyumba 20, makanisa Njombe

NJOMBE, Mvua iliyoambatana na upepo mkali jioni ya tarehe 19/1/2024 imesababisha kaya zaidi ya 20 kukosa makazi kwa kuezua bati la nyumba  na zingine kubomoka katika kata ya Luwumbu, Lupalilo na Mang’oto  Taasisi kadhaa pia zimekumbwa na maafa hayo ikiwemo…

Bashungwa aagiza daraja la Nzali – Chamwino kujengwa haraka

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu…