JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wamiliki wa vyombo vya usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea…

Mawaziri wa Nishati Tanzania, Zambia wajadili ujenzi wa bomba jipya la mafuta

📌Ni la Mafuta Safi kutoka Dar es Salaam hadi Ndola Zambia 📌Dkt. Biteko asema pia litanufaisha mikoa ya kusini 📌Zambia yasema ipo tayari kutekeleza mradi huo 📌Timu ya Wataalam yaanza majadiliano Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na…

Hatimaye Nchimbi apata timu Rwanda

Na Isri Mohamed Mshambuliaji wa Fountain Gate FC, Ditram Adrian Nchimbi ‘Duma’, amepata dili la kusajiliwa na klabu ya Etincelles inayoshiriki ligi kuu ya Rwanda. Nchimbi yupo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wake kujiunga na klabu hiyo. Nchimbi…

Mwakinyo bingwa mpya wa WBO Afrika

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Zanzibar Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amefanikiwa Kuubakisha mkanda wa WBO Afrika nchini kwa kumchapa ‘KO’ mwanajeshi wa Ghana, Elvis Ahorgah.. Mwakinyo ambaye amecheza Usiku wa Kuamkia Leo Visiwani Zanzibar, ameibuka na ushindi huo baada ya mghana…

Zanzibar, China kushirikiana katika uchumi wa buluu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Waziri wa Maliasili wa China Sun Shuxian na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 28 Januari 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi ameishukuru Serikali ya China kwa misaada…

Dk Biteko ashiriki misa kuweka wakfu askofu mteule Mwijage mkoani Kagera

Leo Januari 27, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anashiriki Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mteule Jovitus Francis Mwijage katika Jimbo Katoliki Bukoba mkoani Kagera. Sherehe zinafanyika katika Uwanja wa Kaitaba,…