JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

FCS, LATRA CCC wasaini makubaliano kuimarisha ulinzi na haki ya walaji sekta ya usafiri ardhini

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia,Dar es Salaam Foundation for Civil Society (FCS) na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) wamesainiana Mkataba wa Makubaliano (MoU) wa miaka mitatu ili kuimarisha ulinzi wa walaji na haki zao…

Mfumo wa PAIS kudhibiti migogoro baina wanyamapori na binadamu Babati

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Migogoro baina ya wanyamapori na binadamu imepata tiba baada ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuja na mfumo wa usimamizi wanyama wakali na waharibifu (PAIS) katika Wilaya ya Babati,Mkoa Manyara. Katika mfumo huo, unawezesha wananchi…

Waziri Bashungwa aongoza utiaji saini ujenzi wa daraja la Jangwani

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa ujenzi nnocent Bashungwa leo hii ameongoza hafla ya usainishwaji mikataba ya ujenzi wa daraja la jangwani, Dar es salaam. Mkataba huo umesainiwa mbele ya viongozi mbalimbali wa kiserikali wa mkoa pamoja…

GST kukamilisha upatikanaji wa ithibati vyungu kuyeyushia sampuli za dhahabu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala na Fedha ya Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), CPA Constantine Mashoko ameitaka Menejimenti ya taasisi hiyo kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa Ithibati wa Vyungu…

Kamati ya Bunge yaridhishwa utendajikazi Wizara ya Nishati

📌 Yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisi wa kazi 📌Kapinga asema Serikali itaendelea kuboresha upatikanaji wa Nishati safi ya Kupikia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati na Taasisi…

Shule za Mbeya kufanyiwa ukarabati mkubwa, zitoe mazingira bora ya kujifunzia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, ametangaza mpango mkubwa wa kuboresha miundombinu ya shule za msingi ndani ya jiji hilo, akieleza kuwa hatua hii ni sehemu ya juhudi za kuleta maendeleo endelevu katika…