JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Maadhimisho miaka 47 ya CCM, mbunge Cherehani atoa madawati 975 ya mil.63.3/-

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Ushetu-Kahama Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi 63,375,000 ili kuimarisha sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na mazingira mazuri ya…

Rais Hage Geingob wa Namibia afariki

Rais wa Namibia Hage Geingob amefariki dunia wakati akipata matibabu hospitalini katika mji mkuu, Windhoek. Makamu wa Rais Nangolo Mbumba ametangaza kuwa Geingob amefariki Jumapili alfajiri. “Mkewe Monica Geingos na wanawe walikuwa karibu naye,” Mbumba amesema katika taarifa yake. Kiongozi…

Pinda alia na ucheleweshaji barabara ya Kibaoni – Sitalike Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amemlilia Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa kufuatia ucheleweshaji ujenzi wa barabara ya km 70 kutoka Kibaoni- Sitalike katika…

Simba wamsamehe Chama

Klabu ya soka ya Simba leo Februari 2, imetangaza rasmi kumsamehe kiungo wao Clatous Chama Baada ya kumsimamisha kwa zaidi ya mwezi mmoja. Kupitia ukurasa wao wa Instagram Simba wametoa taarifa ya maamuzi hayo ambayo yamefanywa na kamati ya ufundi…