JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Waziri Jafo: Biashara ya Kaboni kuiingizia pato la taifa trilioni 2.4

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali inatarajia kupata wastani wa shilingi trilioni 2.4 kutokana na biashara ya kaboni ambazo zitachangia kwa kiasi kikubwa kwenye pato…

TAKUKURU Temeke yasimamisha ujenzi wa kituo cha mafuta

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Temeke imesimamisha ujenzi wa kituo cha mafuta uliokuwa unaendelea katika kiwanja namba P.18435 eneo la Mbagala Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam….

CCM yaitaka CHADEMA kuacha kigeugeu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka CHADEMA kuacha kigeugeu, na kudai kuwa hawajui wanachokitaka licha ya mswada wa sheria uliopitishwa bungeni kuwa na faida kubwa kwao na vyama vingine vya upinzani. Akizungumza na wana CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu…

Moloko atimkia Libya, Al Sadaq Sc

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar Winga wa zamani wa Yanga Raia wa Congo, Jesus Moloko amejiunga na klabu ya AL Sadaqa Benghazi inayoshiriki ligi kuu ya Libya. Moloko ambaye alitemwa na Yanga ili kupisha usajili wa Agustine Okrah Amejiunga na…