JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Naibu Waziri Pinda ataka upendo kwa watumishi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda ametaka kuwepo upendo miongoni mwa watumishi ili waweze kutekeleza majukumu kwa ufanisi. Aidha, amewataka watumishi hao wa sekta ya ardhi kufanya kazi kwa bidii…

Serikali yaweka mikakati kuhakikisha usalama wa mtoto mtandaoni

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar ea Salaam Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu imesema inakwenda kuweka Mkakati Madhubuti ikiwemo kufanya mapitio ya sheria na kanuni itakayokwenda kusaidia kudhibiti Ukatili wa watoto Mtandaoni. Ameyasema hayo leo Februari…

Majaliwa aongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu nishati safi ya kupikia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.

Kikwete: Changamoto Serikali Mtandao ziwekwe kwenye mpango mkakati wa taasisi

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media, Arusha Miongoni mwa changamoto zilizowasilishwa katika kikao kazi cha nne cha Serikali Mtandao (e-AGA) ni mifumo ya TEHAMA kutowasiliana na kuendelea kuwapo kwa udurufu wa mifumo. Katika hotuba ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti…

Serikali yatimiza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika Lindi na Mtwara

📌 Mtambo wa Megawati 20 wawasili mkoani Mtwara 📌 Wabunge wapongeza Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Serikali imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara ambapo leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi…