JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Eng.Sanga awafunda watumishi wa ardhi nchini

●Awataka kuwa wasuluhishi wa migogoro na sio chanzo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amewaasa watumishi wa Sekta ya Ardhi kote Nchini kujiepusha na tabia ya kuwa chanzo…

Bashungwa aipa mwezi mmoja kamati ya uwezeshaji wa wazawa sekta

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa katika Miradi ya Ujenzi kukamilisha maboresho ya taarifa hiyo ili iweze kubeba maudhui yote ya Sekta ya Ujenzi na kuweza…

Ndugai ashauri wananchi kuepuka uharibifu wa mazingira

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Kongwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai amewaasa Wananchi kufanya kazi kwa bidii na kutuza mazingira kama jitihada za kupambana na Umaskini. Amesema…

Serikali kushirikiana na TZLPGA ifikapo 2033, asilimia 80 ya Watanazania kuachana na mkaa

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Mamlaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema itatoa ushirikiano na Chama cha Wafanyabiashara wa Gesi ya Kupikia Majumbani kwenye Nishati Safi Endelevu (TZLPGA) kimesema kitahakikisha ifikapo…

Breaking News, Edward Lowasa afariki dunia

Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amefariki dunia hii leo, Februari 10, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dar es Salaam.. Taarifa ya kifo chake imetangazwa leo na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango….

MSD, wadau wa afya Kanda ya Mbeya waweka mikakati ya uboreshaji na upatikanaji bidhaa za afya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya BOHARI ya Dawa (MSD) imewatambua na kuwapongeza wadau wake wa Kanda ya Mbeya kwa ushirikiano na umahiri wao katika uboreshaji na upatikanaji wa bidhaa za afya kwenye maeneo yao. Akizungumza katika mkutano huo wa wadau…