JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais Samia ashiriki kilele cha Tamasha la Kizimkazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024. Viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye Kilele…

Waiomba Serikali kuboresha kiwango cha fidia kwa wanaoathirika na wanyamapori

Baadhi wananchi wa Kata ya Kalemawe Wilayani Same (Jimbo la Same Mashariki) wameiomba Serikali kuboresha Sheria ya kiwango cha fidia (kifuta machozi) kinachotolewa kwa waathirika wa uvamizi wa Wanyama wakali na waharibifu (Tembo) ambao wamekuwa kero kubwa kwenye maeneo yao….

DC Kinondoni aongoza kampeni ya utunzwaji mazingira

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia,Dar ea Salaam Mkuu wa wilaya ya kinondoni Saad Mtambule ameongoza mamia ya watu katika kampeni ya utunzwaji mazingira katika hafla iliyofanyika Asubuhi ya leo maeneo kunduchi, Dsm. Kampeni hiyo ijulikanayo kama IRRIGATION TOUR imeratibiwa na taasisi…

Serikali itaendelea kutumia TEHAMA kukuza maendeleo – Dk Biteko

📌 Lengo ni kuimarisha uchumi wa kidijitali 📌 Sekta binafsi yatakiwa kuchangamkia fursa 📌 Azindua Mpango wa Ujuzi wa Kidigitali kwa Wote – Digi Truck na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na…

Majaliwa ashuhudia wanachama wa CUF, ACT – Wazalendo wakirejea CCM

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili. Mheshimiwa Majaliwa alishuhudia wanachama hao wakikabidhi kadi zao kwa Katibu…