Year: 2024
Madereva wazembe 16,324 wakamatwa, 14 wafungiwa leseni kipindi cha sikukuu
Na Mwandishi Wetu Kikosi cha Usalama Barabarani kimewakamata madereva 16,324 kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani na kuwafungia leseni madereva 14 katika kipindi cha Sikukuu ya Krismasi. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, William Mkonda pia aliwaelekeza wakuu wa usalama…
Wasanii waendelea kumiminika JKCI ofa ya Rais Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wasanii wameendelea kuchangamkia fursa ya kupima moyo bure katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza wakati wa uchunguzi wa moyo kwa wasanii hao jana, Mkurugenzi…
Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter afariki
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100. Mkulima huyo wa zamani wa karanga aliishi muda mrefu kuliko rais yeyote katika historia ambapo alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 mnamo Oktoba 2024….
Mali za wakulima zenye thamani ya bilioni 1.4 zakamatwa
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora OPARESHENI maalumu iliyofanywa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama imefanikisha kukamatwa magunia ya kufungia tumbaku maarufu kama majafafa yenye thamani ya zaidi ya sh bil…
Mbunge Mavunde, Taasisi ya Dodoma Legends watembelea Gereza Kuu Isanga Dodoma
▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza ▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ▪️Wafanya ukarabati wa Jiko la chakula kwa Wafungwa wanawake ▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa matumizi ya Nishati Safi Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma…