JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kliniki maalumu za matibabu ya moyo na mishipa ya damu Geita

Wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) iliyopo Mkoani Geita watatoa  huduma za tiba mkoba zijulikanazo  kwa  jina la  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services kwa…

Matukio ya Waziri Mkuu akiwa bungeni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa…

Bilioni 2 kutumika kuboresha miundombinu Hospitali ya Rufaa Simiyu

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni mbili kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa wa ndani pamoja na ujenzi wa uzio katika Hospitali ya…

GST kurusha ndege nyuki Mirerani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kwa kushirikiana na Kampuni ya Tukutech Company Ltd kutoka Tanzania, Zanifi Enterprise Ltd kutoka Zambia na Radai OY kutoka Finland zinakusudia kurusha ndege nyuki (drone) angani kwa…

Rais Samia azungumza na wafanyabiashara na wawekezaji jijini Oslo Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia jambo katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024. Viongozi, Wawekezaji na Wafanyabiashara mbalimbali wakiwa kwenye…