JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Tanzania mbioni kutumia teknolojia mpya ya utangazaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mapitio ya Kanuni za Utangazaji kuruhusu matumizi ya teknolojia mpya ya utangazaji wa redio kidijitali maarufu kama ‘Digital Sound Broadcasting (DSB)’….

Jela maisha kosa la kunajisi

Hukumu ya kifungo cha maisha gerezani imetolewa kwa Moses Method (23) mkulima na mkazi wa kijiji cha Kasuga wilayani Kakonko mkoani Kigoma baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la pili mwenye umri wa miaka tisa. Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya…

Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali Bandari ya Mtwara wavunja rekodi

●Serikali yawekeza Bil.157.8/-, Matokeo chanya yaanza kuonekana●Yajivunia kuwa na tozo nafuu kuliko bandari shindani ukanda wa Afrika Mashariki Na Stella Aron, JamhuriMedia, Mtwara BANDARI ya Mtwara ni mojawapo kati ya bandari kuu tatu za mwambao wa bahari zilizopo nchini, zinazosimamiwa…

Mwili wa hayati Lowassa waagwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ushaurika wa Azania Front Da es Salaam

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akitoa maelekezo kwa timu ya Itifaki wakati wa maandalizi ya ibada maalum ya Maombolezo na kuaga Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

‘Tuitunze kwa faida ya sasa na kizazi kijacho’

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amewataka Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kulinda na kuitunza miti iliyopandwa katika maeneo yao. Kauli hiyo ameitoa leo Februari 14, 2024 wakati akiongoza zoezi la upandaji…