JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Tutengeneze wasomi wenye akili vumbuzi siyo akili kibarua – Dk Mollel

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka wasomi nchini kubadili fikra zao kwa kutumia akili vumbuzi na sio akili kibarua ili kulisaidia taifa kusonga mbele kwa maendeleo. Dkt. Mollel amesema hayo leo Jijini Dodoma…

Mchezaji Quincy promes ahukumiwa kwenda jela miaka 24

Na Isri Mohamed Mchezaji wa klabu ya Spartak Moscow ya nchini Urusi, Quincy Promes mwenye umri wa miaka 32, amehukumiwa kwenda jela miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya kuuza dawa za kulevya. Promes ambaye amewahi kuzitumikia klabu za…

JET yatoa elimu kwa wanahabari juu ya kupambana na uhalifu kwa wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bagamoyo Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET), kimetoa mafunzo kwa waandishi wa habari 20 kutoka Tanzania Bara na Visiwani juu ya kupambana na uhalifu wa wanyamapori . Mafunzo hayo ni ya siku mbili…

Kwaresma: Ubatizo, Kufunga na Tabia Njema

Na Padri Stefano Kaombe Kati ya vipindi muhimu kabisa vya kiliturujia katika Kanisa nikipindi cha Kwaresma, wengi wetu tuna kumbukumbu nyingi kuhusiana na kipindi hiki, hasa kaidadini ya kupakwa majivu siku ya Jumatano ya Majivu, Njia ya Msalaba kila Ijumaa,…

ACT-Wazalendo kuanza mchakato uchaguzi ndani ya chama

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo Kimewashauri wanachama hai waliolipa ada ndani miezi 12 kijitokeza kugombea nafasi mbalimbali za Chama ngazi ya Taifa ambapo zoezi la kuchukua fomu ni kuanzia 14Februar ha 24 ,2024. Akizungumza…