JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mradi wa USAID ‘ Tuhifadhi Maliasili waonyesha mafanikio

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bagamoyo Imeelezwa kuwa mabadiliko ya tabianchi yamechangia kuwepo kwa mwingiiliano wa wanyama na binadamu na kusababisha kuibuka kwa migogoro. Hayo yamebainishwa na Dk Elikana Kalumanga kutoka RTI International ambaye ni Meneja wa Ushirikishwaji wa Sekta Binafsi…

Bil.30 zimeshapelekwa TARURA kutatua kero ya barabara zilizoharibiwa na mvua

OR-TAMISEMI NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amesema Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameshaelekeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupatiwa Sh. Bilioni 30 ili iweze kutatua changamoto ya barabara kwenye maeneo mbalimbali nchini. Mhe.Ndejembi ametoa…

Madaktari wa upasuaji masikio Hospitali za Rufaa za Mikoa na Kanda wajengewa uwezo Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Hearwell Audiology Clinic zimeendesuha mafunzo ya siku tatu kwa wataalam kutoka hospitali mbalimbali nchini yenye…

RC S hinyanga awataka wazazi kuwapa lishe bora watoto

Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amewataka wazazi na walezi kuwalea watoto katika malezi bora, na kuwapa lishe bora, ikiwa ni pamoja na kuwasalimia watoto wakiwa tumboni ili wakue wakiwa na afya njema na akili….

Serikali yaja na suluhisho la upatikanaji wa nishati ya umeme migodini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanza mazungumzo na Kampuni ya TAQWA-DALBIT kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa upatikanaji wa nishati ya umeme migodini na maeneo yenye wachimbaji wadogo ili kuchochea shughuli za uchimbaji madini…

Waganga wafawidhi kuanza kulipwa posho za madaraka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kuanzia Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwalipa waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi nchini posho za madaraka kutokana na kazi kubwa wanayofanya ya kusimamia…