JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Yanga VS CR Belouizdad ni Paccome day

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad, afisa habari wa Yanga, Ali Kamwe ameitangaza siku hiyo kuwa maalum kwa mchezaji Paccome Zouzoua ‘Paccome Day’. Mchezo huo wa kundi…

Serikali, Benki ya Dunia wakutana kujadili mradi wa Tanzania ya Kidijitali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia-WB, wanaendelea na majadiliano ya namna ya utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya kidijitali, ambapo wataalam kutoka katika Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Ofisi ya Rais,…

Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini

Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Arusha Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School…

LHRC yaitaka serikali kuchukua hatua kukatika umeme

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana ndani ya muda mfupi. Pia kimetoa wito kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupanga…

Kiduku: Mwakinyo anataka bilioni tupigane

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati mashabiki na wadau wa mchezo wa ngumi nchini wakiendelea kushinikiza kutaka pambano kati ya mabondia Twaha Kiduku na Hassan Mwakinyo liandaliwe ili kumaliza utata wa nani ni bingwa wa mwenzake, Kiduku ameibuka…

Watano wafariki wakati wakivuka mto Ruvuma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduru  Watu watano wamefariki dunia na wengine saba wamenusulika kifo baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika kivuko cha mto Ruvuma kuelekea nchi jirani ya Msumbiji. Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amesema…