JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kuelekea masika 2024 :TMA yapongezwa kwa ushirikiano na wadau

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ameipongeza TMA kwa kuendelea kushirikisha sekta mbalimbali nchini katika shughuli za utoaji wa huduma za hali ya hewa….

Nyongo : Serikaki wekeni mazingira rafiki kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeendelea kutoa wito kwa Serikali kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa ili kuongeza kasi ya upatikanaji wa dawa nchini. Wito huo…

Dk Biteko awasili Mbeya kwa ziara ya kikazi

Aeleza jitihada za Serikali kupunguza changamoto ya umeme Aipongeza Mbeya kwa utekelezaji miradi ya maendeleo Asisitiza siasa zisiwagawe wananchi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko, leo amewasili mkoani Mbeya kwa ziara…

Sekta binafsi ni mdau wa uchumi na maendeleo- Rais Mwinyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inaiangalia sekta binafsi kwa mtazamo chanya wa kuwa mdau muhimu wa uchumi na maendeleo. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipofungua Mkutano mkuu…

Hekta 469,000 za misitu hupotea kila mwaka

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki amesema kuwa takwimu za sasa zinaonesha kuwa takribani eneo la misitu lenye ukubwa wa hekta 469,000 kila mwaka linapotea nchini. Amesema ni muhimu pia kwa wadau…