Year: 2024
Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam waileta kampuni ya ‘Volkswagen’ nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Dar es Salaam KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake na ufanisi kufuatia…
Wanawake wajasiriamali Dar wafurahia elimu ya bure CBE
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanza kuwapa mafunzo ya bure ya ujasiriamali wanawake wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Ameyasema…
Viongozi wapya wa Chuo Kikuu cha Umoja wa Afrika Tanzania wasimikwa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO Kikuu cha Umoja wa Afrika Tanzania (UAUT) kimepata viongozi wapya, watakao kiongoza chuo hicho baada ya mwekezaji wa kwanza kushindwa. Walioteuliwa kuongoza chuo hicho ni Mkuu wa Chuo, Dkt. Kyung Chul Kam,…
Mataifa 22 yashiriki maonesho ya mafuta na gesi
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni za kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 22 mduniani zimeshiriki katika maonyesho ya mafuta na gesi. Maonyesho hayo yanafanyika kwa mara ya 25 yakihusisha makampuni yanayojishughulisha na masuala ya nishati ya gesi na…
Upigaji, Wachina wajikusanyia marundo ya fedha
*Washindwa kuzihesabu kutokana na wingi, wapima kwa kutumia mizani*TRA yakata kodi kiduchu kwa mwezi bila kujali wacheza kamari wameshinda kiasi gani Na Dennis Luambano, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wachina wanaomiliki mashine za kamari (slot machine) maarufu kama ‘dubwi’ au ‘bonanza’…
Miaka mitatu ya Rais Dk Samia madarakani ongezeko la makusanyo madini yapaa
• Tume ya Madini yaainisha mikakati yake kufikia 10% ya Pato la Taifa • Yasimamia ajira 18,853 za Watanzania katika kampuni za madini • Leseni za madini 34,000 zatolewa • Katibu Mtendaji aipongeza Wizara ya Madini chini ya Waziri Mavunde…