JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dk Mpango aweka jiwe la msingi mradi wa kuboresha huduma ya maji Tanga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande…

Rais Mwinyi akutana na ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada – Afrika Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada –Afrika, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024.na (kulia kwa Rais) Balozi wa Canada…

Dk Tulia ateta na RC Mbeya

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa…

Barabara ya mwendokasi Kibaha- Dodoma yaja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema mipango ya serikali ya awamu ya sita ni kujenga barabara ya mwendokasi ( Express way) kuanzia Kibaha- Chalinze – Morogoro mpaka makao makuu ya nchi Dodoma. Bashungwa amesema hayo…

Mahitaji ya umeme makubwa kuliko uzalishaji

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati amefafanuwa kuwa changamoto ya mgao unatokana na umeme unaozalishwa kutokidhi mahitaji ya Watanzania wote. Mramba ametoa kauli hiyo leo Februari 22, 2024 katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhuru Yunus, unaohusisha viongozi mbalimbali na…

Waziri Simbachawane aitaka TAKUKURU kuwadhibiti wachezeaji rasilimali za nchi

Na Lusungu Helela, JamhuriMedia, Iringa  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya…