JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Jumuiya ya wazazi Shinyanga mjini yateuwa kamati za kutatua kero

Na Suzy Butondo JamhuriMedia, Shinyanga Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Shinyanga mjini imeteuwa kamati ndogo ndogo ambazo zitasaidia kufanya kazi za maendeleo na kuweza kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii ya Shinyanga mjini. Katibu wa Umoja wa wazazi wilaya ya…

Jaji Afrika Kusini afunguliwa mashtaka

Bunge la Afrika Kusini limemfungulia mashtaka mmoja wa majaji wakuu wa nchi hiyo kwa utovu wa nidhamu. Uchunguzi uligundua kuwa John Hlophe, jaji mkuu katika jimbo la Western Cape, alijaribu kushawishi majaji katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo katika kesi…

Mataifa saba yafutiwa ada kuingia Kenya

Kenya imewasamehe walio na pasipoti kutoka nchi saba kulipa ada ya kuingia nchini humo iliyoanzishwa mwezi uliopita. Serikali ilitupilia mbali mahitaji ya viza kwa wamiliki wote wa pasipoti za kigeni. Hatua hiyo ilionekana kama jaribio la kuitangaza Kenya kama kivutio…

Mpango awataka vijana vyuo vya ufundi kutengeza ajira

Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amewataka vijana wanaosoma katika vyuo vya ufundi stadi kutumia ujuzi walioupata kutengeneza fursa ya ajira. Dk Mpango ameyasema hayo wakati akiweka Jiwe la Msingi katika chuo cha ufundi stadi kilichopo kata ya Kasera Wilaya…

Bashungwa ataka madaraja, makaravati yenye ubora

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania  (TANROADS) kufanya kazi za usanifu wa makaravati na madaraja kwa kuzingatia viwango vya ubora ili yatakapojengwa yaweze kustahimili na kudumu kwa muda mrefu. Amesema kwa mameneja watakaofanya uzembe na…