JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Bandari ya Mbambabay kuunganishwa na reli ya Kusini

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Mbambabay Naibu Waziri wa Uchukuzi Mheshimiwa David Kihenzile amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 70 kuanza uboresha bandari ya Mbambabay ziwa Nyasa mkoani Ruvuma. Amesema mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni miezi 24 na…

Watu 25 wafariki katika ajali baada ya lori na magari madogo matatu kugonga Arusha

Na Abel Paul -Jeshi la Polisi, Arusha Watu 25 wameafariki dunia huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ngaramtoni kibaoni by Pass ikihusisha Lori na magari mengine madogo matatu Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Akitoa taarifa ya…

Yanga watinga robo fanali kibabe

Na isri Mohamed, JamhuriMedia Klabu ya Yanga imefuzu na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwafunga CR Belouizdad mabao manne kwa Nunge. Mabao hayo manne yamefungwa na Mudathir Yahya, Kennedy Musonda, Aziz Ki na Joseph Guede. Hii…

Jumuiya ya wazazi Shinyanga mjini yateuwa kamati za kutatua kero

Na Suzy Butondo JamhuriMedia, Shinyanga Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Shinyanga mjini imeteuwa kamati ndogo ndogo ambazo zitasaidia kufanya kazi za maendeleo na kuweza kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii ya Shinyanga mjini. Katibu wa Umoja wa wazazi wilaya ya…

Jaji Afrika Kusini afunguliwa mashtaka

Bunge la Afrika Kusini limemfungulia mashtaka mmoja wa majaji wakuu wa nchi hiyo kwa utovu wa nidhamu. Uchunguzi uligundua kuwa John Hlophe, jaji mkuu katika jimbo la Western Cape, alijaribu kushawishi majaji katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo katika kesi…