JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais Samia kugharamia matibabu ya watoto 100 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

Na WAF – Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan atagharimia matibabu ya upasuaji na utengamao kwa watoto 100 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi yatakayofanyika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa…

Waziri Mkuu aagiza taarifa maalumu ya udhibiti wa uvuvi haramu

*Azindua boti ya doria kukabiliana na uhalifu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi haijawasilisha hotuba ya bajeti ya mwaka 2024/2025. Ametoa agizo hilo leo…

Dk Mpango mgeni rasmi maombi ya kuliombea Taifa jijini Dodoma

Na Dotto Kwilasa, Mkuu wa MKoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, leo Aprili 21, 2024, amefanya mkutano na waandishi wa habari kuutangazia umma juu ya dhamana iliyopewa Mkoa wa Dodoma kuandaa na kufanya maombi na dua ya kuliombea Taifa katika…

Makamu wa Rais afungua skuli ya Maziwang’ombe -Pemba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Mparachichi katika Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa ufunguzi wa skuli hiyo ikiwa ni Shamrashamra…

Waziri Mkuu awaaga viongozi wa dini, uzinduzi wa ‘Route’ ya SGR Dar – Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa akiwa kwenye kichwa cha treni ya mwendo kasi -SGR, alipowasindikiza viongozi wa dini walioondoka Stesheni ya Dar es salaam kwenda jijini Dodoma, Aprili 21, 2024,…

Benki ya Dunia kuisaidia Tanzania utekelezaji wa miradi 14 ya kimkakati

Ujumbe wa Tanzania (kushoto) ukiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ukiwa katika kikao na Ujumbe wa Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia nchi za Kanda ya Mashariki na…