JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Watuhumiwa sita wa mauaji ya rapa A.K.A wakamatwa

Na Isri Mohamed Ikiwa ni mwaka moja umepita tangu Rapa mkubwa nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes โ€˜A.K.Aโ€™ apigwe risasi na kufariki dunia, Polisi nchini humo wamethibitisha kuwakamata Watuhumiwa sita wa mauaji yake akiwemo โ€˜Mastermindโ€™ aliyeandaa mpango mzima na kulipa Wauaji…

Kitita kipya NHIF kuanza kutumika Machi 1, wananchi kupata unafuu

na Mwandishi Wetu JanhuriMedia, Dar es Salaam MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema maboresho mapya ya Kitita cha Mafao kwa wanachama wake utekelezaji utaanza rasmi Machi 1,2024. Hayo yamebainishwa leo Februari 28,2024 jijini Dar es Salaam na…

Bodaboda wachoma moto basi la Saibaba

Na Isri Mohamed Basi la Kampuni ya Saibaba Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Arusha limechomwa moto na kundi la bodaboda katika Kata ya Mtonga, Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga baada ya mwenzao kugongwa na basi…

Pinda amshukuru Rais Samia uwekezaji mkubwa Hospitali ya Mpimbwe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanyika…

Nchi wanachama EAPP zakubaliana kuipa msukumo miradi ya umeme

๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko asema suala la kuwapa nishati wananchi sio hiari ๐Ÿ“Œ Asisitiza miradi ya usafirishaji umeme EAPP kukamilika kwa wakati ๐Ÿ“Œ Vyanzo vipya vya umeme kuendelezwa kukidhi mahitaji Na Mwandishi Maalum Baraza la Mawaziri wanaohusika na mfumo wa pamoja…