JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wadau wa kisekta watakiwa kukabiliana na athari za mvua za msimu 2024/25

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari amewataka wadau kutoka sekta mbalimbali kukabialiana na athari zitakazoweza kujitokeza pamoja na kuchukua hatua stahiki wakati wa mvua za msimu…

DRC: M23 wadhibiti tena mji wa Kalembe, mashariki mwa nchi

Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, wameuteka tena mji wa Kalembe, huko Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Siku ya Jumapili, M23 walichukua udhibiti wa mji huo ulioko zaidi ya kilomita 150 magharibi mwa Goma, kabla…

Samia Kalamu Awards yasogezwa mbele hadi Oktoba 30

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (TAMWA) na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameongeza muda wa maombi ya ushiriki katika Tuzo za Samia Kalamu Awards hadi Oktoba 30, 2024. Tuzo hizo zitatolewa…

Bashungwa amkalia kooni mkandarasi CRSG anayetekeleza ujenzi wa barabara Nyamwage – Utete

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji SERIKALI kupitia wizara ya Ujenzi imemuagiza Mkandarasi, Kampuni ya China Railways Seventh Group Ltd (CRSG) anaejenga ujenzi wa barabara ya Utete -Nyamwage yenye km.33.7, kuacha mzaha na kusuasua ambapo hadi sasa Ujenzi umefikia asilimia 7…

Shule ya Kata yaweka historia katika TEHAMA

*Yazindua maabara ya kisasa kwa fedha za wanakijiji*Tume yaguswa, kuhamishia hamasa shule 4,000 za Kata Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi SHULE ya Sekondari ya Manushi iliyopo Kata ya Kibosho Magharibi wilayani Moshi, Kilimanjaro imeandika historia ya kuwa shule ya kwanza…

Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Belarus nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 24. 2024 amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo hayo, Mheshimiwa Majaliwa amemweleza Balozi Pavel kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Belarus…