JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mageuzi sekta ya afya Tanzania yaikuna Kenya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mageuzi makubwa yaliyofanyika kwenye sekta ya Afya nchini kupitia Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yameivutia Serikali ya Jimbo la Kilifi kutoka Kenya ambao wamefika kujifunza namna…

Mbunge wa Kenya : Msikubali kauli ya vijana kuwa ni viongozi wa kesho

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mbunge kutoka Embakasi Mashariki ya Kenya Paul Owino (Babu Owino) amewashauri Ngome ya Vijana chama cha ACT Wazalendo waikanushe kauli ya kuwa wao viongozi wa kesho bali waamini kuwa wao ni wa leo…

Gofu kumuenzi Lina yaanza kurindima Moshi

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Moshi Michuano ya Gofu inayoitwa Lina PG Tour imeanza kurindima katika Viwanja vya TPC Moshi ambapo zaidi ya wachezaji 80 wakiwemo 16 wa kulipwa wamejitokeza kushindana. Shindano hilo limeandaliwa na familia ya Said Nkya kwa kushirikiana…

MSD: Kuna haja kuwa na mifuko ya akiba ya kuhifadhia damu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuna haja ya kuwa na akiba ya mifuko ya kuhifadhia damu itakayodumu kwa kipindi cha kuanzia miezi mitano hadi tisa, kuepuka kuadimika kwa bidhaa hizo. Kauli hiyo ya…