Year: 2024
Waziri Mavunde afuta maombi ya leseni za madini 227
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla ya maombi ya leseni 227 ambayo yamekosa vigezo vya kuendelea kufanyiwa kazi. Ameyasema hayo leo tarehe 24 Aprili, 2024 Jijini Dodoma…
Serikali kuendelea kusambaza majiko banifu kwenye kaya
SERIKALI imesema itaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza majiko banifu kwenye kaya zilizopo katika maeneo ya vijijini na vijiji-miji na kutoa ruzuku kwa wazalishaji wa mkaa mbadala kwa ajili ya ununuzi wa mashine zitakazotumika katika uzalishaji wa mkao huo….
GA yawezesha usanifu wa e-Board Ilemela
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Mwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Ummy Mohammed Wayayu amesema matumizi ya Mfumo wa kuwezesha uratibu wa shughuli za uandaaji wa vikao mbalimbali vya bodi na menejimenti katika Halmashauri na Taasisi za Umma(e-Board) umerahisisha…
Misaada yawafikia wanawake waliojifungua kambi za wahanga wa mafuriko Rufiji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa…
Ofisi ya mbunge imetoa mil.4 6 kwa vikundi vya wanawake kukopeshana- Ridhiwanni
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Kwa mujibu wa Taarifa za Sensa, ongezeko la idadi ya wanawake wanaotegemewa ndani ya familia imeongezeka kufikia asilimia 37.6, idadi ambayo inatoa fursa za kuwezesha wanawake katika jamii. Kutokana na hilo Serikali imeendelea kufanya jitihada…
Ridhiwani -Wanafunzi someni kwa bidii, elimu ni ufunguo wa maisha
Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Chalinze Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amewataka wanafunzi na vijana kuacha matumizi mabaya ya mitandao, mambo yaliyo nje ya tamaduni za kitanzania na badala…