JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dk Mpango awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi

………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali…

Mvua zaharibu daraja la Namiungo Tunduru

Na Muhidin Amri, JamhuriMedia, Tunduru Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha kwa zaidi ya masaa manne katika kijiji cha Namiungo wilayani Tunduru imeharibu miundombinu ya daraja la mto Namiungo lililopo Barabara kuu ya Tunduru kuelekea mikoa  ya kusini Lindi,Mtwara…

TASWA yaungana na Watanzania kuomboleza kifo cha mzee Mwinyi

Na Mwandishi Wetu Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ally Hassan Mwinyi kilichotokea Februari 29,2024 jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu…

CHADEMA yamlilia mzee Mwinyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Rais wa Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Februari 29, 2024 jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa leo…