JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Muhimbili yatoa pini kwenye mapafu ya mtoto wa miaka mitano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mtoto mwenye umri wa miaka mitano, mkazi wa Jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ametolewa pini kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa maalum chenye kamera kilichopelekwa moja kwa moja hadi ilipo, kuinasa…

Mwekezaji adaiwa kuharibu mashamba, wanawake wamlilia mama Samia Lupunga Pwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Kaya zaidi ya 900 za Kijiji cha Lupunga, mkoani Pwani wamo hatarini kukumbwa na njaa baada ya kinachodaiwa mwekezaji kuvamia mashamba na kuharibu mazao kinyume cha sheria. Akizungumza hivi karibuni kwa niaba ya wananchi, Mwenyekiti…

Mkurugenzi NHIF atembelea hospitali ya Regency, huduma zarejea kama kawa Regency

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ujumbe wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF) umetembelea hospitali ya Regency ya Upanga jinjini Dar es Salaam na kuzungumza na uongozi ambapo wamekubaliana hospitali hiyo kuendelea kutoa huduma wakati masuala…

Jaji Mkuu: Mfumo wa mahakama jitihada za Mwinyi

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema mabadiliko katika katiba ya nchi, mfumo wa mahakama, mahakama ya kadhi uliopo leo umetokana na jitihada za Hayati Ali Hassan Mwinyi. Amesema pia Hayati Mzee Mwinyi  atakumbukwa katika utawala wa sheria…