Year: 2024
Zaidi ya watu 140 wafariki kwa radi, dhoruba Pakistan
Zaidi ya watu 140 wamefariki dunia nchini Pakistan baada ya kupigwa na radi na matukio mengine yanayohusishwa na dhoruba katika mwezi huu wa Aprili, huku taifa hilo likishuhudia mvua kubwa kabisa. Pakistan imekumbwa na mafuriko makubwa, maporomoko ya ardhi na…
Chama cha Waandishi wa habari za Mazingira watembelea Makuyuni Wildlife Park
Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) leo April 30, 2024 wametembelea Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya Monduli katika mkoa wa Arusha kwa lengo la kujifunza Uhifadhi wa wanyamapori na kujionea shughuli za Utalii. Ziara hii ya…
Bashungwa awaondoa watendaji Kivuko cha Magogoni – Kigamboni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wanaosimamia usafiri wa kivuko kati ya Magogoni – Kigamboni na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kusimamia kikamilifu huduma…
Watatu wafariki kwa kuangukiwa na ukuta
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Iyombo-Nyasa, katika Kata ya Utwigu Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora.wamepoteza maisha kwa kuangukiwa na ukuta wa nyumba walimokuwa wamelala usiku. Kamanda wa Polisi Mkoani hapa Richard Abwao amethibitisha kutokea…
TMA yapongezwa kwa kuimarisha ubora na usahihi wa taarifa za hali ya hewa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Morogoro Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TMA kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF, Morogoro Aprili 30, 2024, kwa lengo la kufanya tathmini ya utendaji kazi wa…
Mndolwa : Miradi mingi ya umwagiliaji inatekelezwa kwa kipindi cha miezi 18
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amesema miradi mingi ya umwagiliaji inatekelezwa kwa kipindi cha miezi 18, hivyo kukamilika kwa ujenzi na ukarabati wa skimu zinazoendelea kujengwa katika kipindi cha mwaka 2022/2023…