JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Serikali yakabidhi boti mbili ziwa victoria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekabidhiwa boti mbili kutoka Taasisi ya Uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa ajili ya kufanya doria na kudhibiti uvuvi haramu ndani ya Ziwa…

Mgaya mkuu mpya NIT

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dk Prosper Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Kabla ya uteuzi huo Mgaya alikua Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Taarifa ya Mkurugenzi wa…

TAWIRI yabainisha umuhimu wa wadudu katika uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imebainisha kuwa, wadudu hususani nyuki ni wanyamapori wenye mchango mkubwa katika uhifadhi wakiwa na jukumu kubwa la uchavushaji mimea ambayo hutumiwa kama chakula na wanyamapori wakubwa na wadogo….

Kinana : Rais Samia anadhamira ya dhati kufanikisha uchaguzi huru na wa haki

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewahakikishia Watanzania kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kufanya uchaguzi huru na wa haki kuanzia wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi…

Jeshi la Polisi lawashikilia watatu kwa wizi wa pikipiki

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikiria Omari Mlopa (28),mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32 zilizoibwa na baadae kuzifanya zao kwa kuzikodisha kwa mikataba kwa watu…