JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

JKCI yaombwa kutoa elimu ya lishe

Na Mwandishi Maalumu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wameiomba Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuendelea kutoa elimu ya lishe bora ambayo itawasaidia kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza yakiwemo magonjwa ya moyo. Ombi hilo limetolewa…

Hospitali ya Rufaa Songea ilivyomaliza adha ya wagonjwa kwenda Muhimbili

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Afya imetenga zaidi ya shilingi bilioni 6.57 kutekeleza mradi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea. Fedha hizo ni kwa ajili ya…

Serikali yaiomba FAO kuunga mkono mipango ya kupambana na athari za mabadiliko tabianchi

Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo ameliomba Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) kuendelea Kuunga mkono mipango ya Serikali ya Tanzania katika usimamizi wa mazingira na kupambana…

Garden Michael aanza kuwasha moto Afrika Kusini

Isri Mohamed Mlinzi wa kushoto raia wa Tanzania, Gadiel Michael anayekipiga kwenye klabu ya Cape Town nchini Afrika Kusini ameanza kuwasha moto kwenye klabu yake hiyo kwa kutoa Assist ya bao la kwanza wakicheza dhidi ya Galaxy fc. Mchezo huo…

CBE yapongezwa kwa ubunifu wa kozi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeiagiza wenye maabasi nchini kuhakikisha madereva na wahudumu wao wote wa usafiri wa umma nchini wanapata  mafunzo ya namna ya kutoa huduma ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka mitatu. Imesema mafunzo…