Year: 2024
RC Chongolo aipa heko TANROADS, bil.5.7/- zatolewa kutatua changamoto za miundombinu Songwe
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa kuhakikisha barabara zinapitika mkoani Songwe. Rc Chongolo ameeleza kuwa changamoto…
Tanzania yadhamiria kuwa kituo kikuu uchimbaji madini Afrika
Tanzania imeendelea kusisitiza azma yake ya kuwa kituo kikuu cha uchimbaji madini barani Afrika, kupitia hatua zake mbalimbali za kimkakati na kiujumuishi ikiwemo sera zake zinazotoa motisha kwa wawekezaji sambamba mazingira bora ya uwekezaji. Dk Steven Kiruswa, Naibu Waziri wa…
Tutazidi kuimarisha huduma za ukunga kukabiliana na vifo vitokanavyo na uzazi – Waziri Ummy
Na WAF – Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya afya imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za Ukunga sambamba na kuongeza idadi yao ili kupunguza vifo vya watoto wa mchanga. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 5, 2024…
Mawasiliano ya barabara ya Dar – Lindi kurejea ndani ya saa 72 – Bashungwa
na Mwandishi Wetu, JakhuroMedia, Lindi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam,…
NECTA yatangaza kuanza mitihani kidato cha sita Mei 6, ualimu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la mitihani (NECTA) limetangaza kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita na Ualimu huku wakitoa rai kwa kamati za mitihani kuhakiksha usalama wa vituo vya mitihani unaimarishwa na vituo vinatumika…