JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TAWIRI yabainisha umuhimu wa wadudu katika uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imebainisha kuwa, wadudu hususani nyuki ni wanyamapori wenye mchango mkubwa katika uhifadhi wakiwa na jukumu kubwa la uchavushaji mimea ambayo hutumiwa kama chakula na wanyamapori wakubwa na wadogo….

Kinana : Rais Samia anadhamira ya dhati kufanikisha uchaguzi huru na wa haki

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewahakikishia Watanzania kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kufanya uchaguzi huru na wa haki kuanzia wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi…

Jeshi la Polisi lawashikilia watatu kwa wizi wa pikipiki

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikiria Omari Mlopa (28),mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32 zilizoibwa na baadae kuzifanya zao kwa kuzikodisha kwa mikataba kwa watu…

Mollel, Nkya watikisa michuano ya gofu kumuenzi Lina

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Nuru Mollel wa klabu ya Arusha Gymkhana na Fadhil Nkya kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam wameibuka mabingwa katika michuano ya kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya gofu Lina…

Makonda abaini kukithiri kwa dhulma, Rais Samia kuanza kusikiliza kero

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Paul Makonda amesema katika ziara yake aliyoifanya hivi karibuni katika mikoa 23 amebaini mambo makubwa matatu ikiwemo kukithiri kwa dhulma. Akizungumza…