Year: 2024
‘Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya kupikia itapunguza vitendo vya ukataji miti’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya Kupikia wa Mwaka 2024 – 2034 kwa kiasi kikubwa utasaidia kupungua kwa vitendo vya ukataji wa miti kwa kupunguza matumizi ya nishati itokanayo na…
Luteni kanali mstaafu Songea aliyesoma na Idd Amini afariki
–Alishirikiana na Samora Machel kuikomboa Msumbiji Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Tanzania haitamsahau Dikteta Idd Amini Dada aliyeitawala Uganda kwa mabavu kisha kuvamia Tanzania mwaka 1978 ambapo Tanzania iliingia vitani na kufanikiwa kumng’oa mvamizi huyo mwaka 1979. Luteni Kanali Mstaafu…
Shaka ashikwa na butwaa, mwenyekiti adaiwa kuuza mlima wa ekari 1128 kwa milioni 20
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilosa Jeshi la Polisi wilayani Kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh Ngajime kwa tuhuma za kuuza eneo la mlima, mali ya kijiji cha Msowero wilayani…
Serikali yaipa TANROADS bil.6.5/- kukabiliana na athari za mvua za El Nino Rukwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 6.5 kwa ajili ya matengenezo ya dharura ya kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja ambayo yameharika kutokana na…