JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

PURA yawekeana hati ya mashirikiano na Chuo cha DMI

Na Magrethy Katengu, JamahuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petrol (PURA) wamewekeana hati ya Saini ya ushirikiano na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) katika kupata wataalamu wakufunzi watakaosaidia Usalama katika shughuli za uchimbaji…

Wadau waombwa kuwekeza kwenye tasnia ya urembo

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Mwakilishi wa Tanzania wa Mashindano la Mrembo wa Dunia (Miss World 2024)Halima Kopwe amewaomba wadau mbalimbali kuwekeza kwenye tasnia ya urembo kama inavyofanya vilabu mpira ili vijana wengi kupenda tasnia hiyo na kuweza kuitangaza Tanzani Kimataifa. Akizungumza…

Ofisi ya Waziri Mkuu itaendelea kuratibu programu ya ASDP II ili kuongeza tija – Dk Yonazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameeleza kuwa, Ofisi yake itaendelea kuratibu Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) ili kuendelea…

Kamati ya Bunge yataka mipango matumizi ya ardhi vijijini kusimamiwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruangwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imeitaka mipango ya matumizi ya ardhi inayotekelezwa katika vijiji mbalimbali nchini kusimamiwa ipasavgo na Kamati za Vijiji ili iweze kuleta tija katika vijiji husika. Aidha,…

Uwekezaji kwenye sekta ya elimu lazima umguse mwalimu – Dk Biteko

πŸ“Œ Azindua programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu nchini (GPETSP) πŸ“Œ Ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu πŸ“Œ Aeleza vipaumbele 8 kuendeleza Kada ya Ualimu πŸ“Œ Ataka walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha πŸ“Œ…

Zimbabwe yavutiwa na mpango wa Tanzania kurejesha minada ya vito

Waziri wa Madini wa Jamhuri ya Zimbabwe Soda Zhemu amesema kuwa nchi yake imevutiwa na Mifumo ya Minada ya Madini ya Vito iliyo katika hatua za mwisho kurejeshwa nchini Tanzania baada ya kukamilika kwa Marekebisho ya Sheria. Amesema hayo Machi…