JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wakazi Kisabi wagoma kuhamia Kikongo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wakazi wa Kitongoji cha Kisabi , Mlandizi ,Kibaha Vijijini , Mkoani Pwani wanaotakiwa kupisha eneo hilo na kuhamia Kikongo eneo lenye ekari 1,000 lililotolewa na Serikali wamegomea kuhama wakidai ugumu wa kuanza maisha mapya. Hayo…

Watoto chini ya miaka mitano wapatiwa matone ya vitamini A

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara afya imepokea vidonge vya matone ya Vitamini A milioni 22 kutoka kwa shirika la Nutritrion International kwa ajili ya kuwapatie watoto walio na umri chini ya miaka 5 wapatao milioni…

TAKUKURU Ruvuma yabaini mapungufu miradi minne ya bilioni 1.55

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea TAASISI ya Kuzuia na Kupambana ya Rushwa (TAKUKURU), mkoani Ruvuma imebaini mapungufu na kuchukua hatua katika miradi minne ya maendeleo yenye thamani ya bilioni 1.55. Hayo yamesemwa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Hamza…

Regrow waleta neema Hifadhi ya Taifa Ruaha

…………………….. Na Mwandishi Wetu Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW), umezidi kuwa neema kwa uhifadhi wa Ikolojia pamoja Utalii katika Hifadhi ya Taifa Ruaha kutokana na Maboresho ya mito uliofanywa Wilaya ya Mbarali…

Katambi awaomba viongozi kushirikiana ili kuchochea maendeleo Jimbo la Shinyanga Mjini

Na Suzy Butondo,JamhuriMedia,Shinyanga Mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini ambaye pia ni naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi amewaomba viongozi wa CCM na Serikali kushirikiane naye kufanya shughuli mbalimbali za kimaendeleo na…

CTI yampongeza Rais Samia kwa kuwajali wawekezaji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mkuranga SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI) ,limempongeza Rais Samia kwa kuwapa fursa kubwa wafanyabiashara ya kukaa nao meza moja ya majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto zao. Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi wa Shirikisho hilo, Leodegar…