JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Putin aongoza kura ya urais kwa asilimia 87

Dalili za ushindi wa Vladimir Putin wa upande mmoja kama Rais wa Urusi ni dhahiri. Wasimamizi wa uchaguzi wametangaza kuwa alipata zaidi ya asilimia 87 ya kura katika matokeo yaliyotolewa kufikia sasa. Putin amekuwa akisema kila mara kuwa ana uhakika…

TAWA : Ujangili wa tembo umepungua nchini

Tanzania imefanikiwa kudhibiti  ujangili wa tembo kutokana na juhudi za miaka mingi iliyofanywa n Serikali kwa kushirikiana na vikosi mbalimbali, mashirika  pamoja taasisi za ndani. Akizungumza wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania…

Dk Biteko ashiriki misa takatifu ya kumwombea hayati Magufuli Chato

๐Ÿ“Œ Asema Rais, Dkt. Samia anatekeleza kwa kasi kubwa misingi iliyowekwa na Hayati Magufuli ๐Ÿ“Œ Dkt. Samia ajenga Makumbusho ya Hayati Magufuli Chato ๐Ÿ“Œ Familia ya Magufuli, Mbunge Chato wamshukuru Rais Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt….

Ujenzi wa bandari Kisiju kizungumkuti, wasuasua

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Kisiju ,Kata ya Kisiju ,Mkuranga mkoani Pwani ,bado kaa la moto ,kizungumkuti kwani umechukua muda mrefu huku wananchi wakiwa katika sintofahamu. Wajumbe wa Bodi ya Barabara ,Mkoani humo, wameonesha…

‘Madai ya ACT- Wazalendo kujitoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa yapuuzwe’

KATIBU wa Kamati ya NEC,Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis amesema kuwa madai ya ACT-Wazalendo ya kujitoa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) yapuuzwe na hayana mashiko kwani Serikali hiyo imeundwa kwa nguvu ya kura…