JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mdau wa maendeleo Kilimanjaro Joseph Mushi apeleka tabasabu kwa wanakijiji Singa

Ajenga zahanati ya kisasa, wananchi wafurahia Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Wanakijiji wa Singa,kata ya Kibosho Mashariki mkoani Kilimanjaro wameonesha kufurahishwa kwa kujengewa zahanati na mdau wa maendeleo Joseph Mushi ambaye amechukua hatua ya kujenga zahanati ya kisasa kwa wanakijiji…

Watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya wakamatwa Arusha

Na Mwandishi Wetu, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari huku likiwakamata watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya pamoja pikipiki zinazotumika katika uhalifu….

ACT -Wazalendo : Serikali itekeleze ahadi uchaguzi Serikali za Mitaa

Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutunga sheria ya kuiwezesha Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, Isihaka Mchinjita kwenye mapokezi ya kumpongeza…

Al Hilal waomba kucheza Ligi Kuu ya Tanzania

Na Isri Mohamed Klabu ya AL Hilal ya Sudan imetuma maombi kwa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, ya kucheza Ligi Kuu ya Tanzania kuanzia msimu ujao. Afisa habari wa TFF, Clifford Ndimbo amezungumza na Jamhuri Media na kulifafanua…

DC Shaka azitembelea familia zilizoathirika na mafuriko Kilosa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amelazimika kutembea zaidi ya kilometa 5 ndani ya maji baada kuzungukwa wakiwa katika harakati za kusaidia kuokoa wananchi waliopata mafuriko kufuatia kujaa mto Miombo baada kupokea maji…