JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wananchi Ruvuma wamshukuru rais kwa ujenzi wa bandari ya Ndumbi

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Mbambabay WANANCHI wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wamemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha kiasi cha shilingi bilioni 12.2 kwa ajili ya ujenzi wa bandari mpya ya Ndumbi ziwa Nyasa. Mbunge wa Jimbo la…

Paccome aitwa timu ya Taifa Ivory Coast

Na Isri Mohamed Shirikisho la Soka la Ivory Coast limetangaza kumuita kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kwenye kikosi cha timu yao ya Taifa. Paccome ameitwa kuchukua nafasi ya kiungo mkabaji wa Nottingham Forest Ibrahim Sangare ambaye amepata majeraha. Ivory…

TAFICO yapongezwa jitihada za kuinua uchumi wa bluu

Na Magrethy Katengu, Jamhuriamedia, Dar es Salaam Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara,Kilimo na Mifugo imelipongeza Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) kwa jitihada wanazozifanya za ukarabti wa miundombinu ili kusaidia kuinua uchumi wa bluu kupitia sekta ya uvuvi….

Huu hapa mkakati wa kudumu Serengeti

*Wadau wa uhifadhi, maendeleo kuibadili Mugumu kuwa ‘Serengeti Smart City’ *Iwapo Dodoma itaidhinisha mpango huu, Senapa itabaki kileleni daima Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Kwa miaka mitatu mfululizo, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa) imetajwa kuwa miongoni mwa sehemu bora…

Mchengerwa atoa miezi saba kwa DART kumpata mwekezaji binafsi

OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa ameielekeza Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART) kufikia mwezi Oktoba 2024 iwe imempata mwekezaji binafsi ambaye ni mtoa huduma wa mabasi hayo ili…