JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TMX yapaisha mapato Kagera

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Mfumo wa Unununuzi wa Mazao kwa njia ya Mtandao unaoedeshwa na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), umeongeza ushuru wa mapato mkoani Kagera kwa zaidi ya asilimia 200. Kwa misimu miwili Serikali kupitia Soko la Bidhaa…

Bil. 431 kutekeleza miradi ya barabara za kimkakati Kagera

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Serikali ya Awamu ya Sita imetoa kiasi cha Sh bilioni 431 kwa kipindi cha miaka mitatu kwa ajili ya kutekeleza miradi ya barabara za kimkakati, ili kuhakikisha Mkoa wa Kagera unaunganisha barabara zake na mikoa…

Mpango mgeni rasmi siku ya misitu duniani

Na Mwandishi Maalum Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Phillip Mpango atarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Machi 21, 2024. Kuelekea siku hiyo, Waziri wa Maliasili…

Diamond ampa pole Rais Dk Mwinyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platinumz’ kufuatia kifo cha baba yake…

Makamba azindua kamati maalum ya kukiimarisha Chuo cha Kimataifa cha Kidiplomasia

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, January Makamba amezindua kamati maalum itakayosimamia na kushughulikia chuo Cha uhusiano wa kimataifa Diplomasia cha Salim Ahmed Salim. Akizungumza na waandishi wa habari jijini…

Miaka mitatu ya Rais Samia ilivyoleta usawa kwenye uwanja wa siasa

Na Dk Ruben Lumbagala, JamhuriMedia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka mitatu ya uongozi wake tangu alipoapishwa rasmi Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Tanzania kufuatia kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli kilichotokea Machi…