Year: 2024
Prof. Janabi : Viongozi wenzangu toeni maamuzi na kutatua changamoto kwa wakati
Na MwandishibWetu, JamhuriMesldia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Mohamed Janabi amewataka viongozi wa hospitali hiyo kutoa maamuzi na kutatua changamoto zinazojitokeza katika maeneo yao ya usimamizi kwa wakati ili kuendelea kutoa huduma bora. Prof….
Samatta atwaa ubingwa Ligi Kuu Ugiriki
ATHENS, Ugiriki: Nahodha wa @taifastars_ Mbwana Samatta @samagoal77 ametwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki Msimu wa 2023/24. Hilo ni taji la kwanza kwa Samatta nchini humo tangu ajiunge na Paok FC mnamo Agosti 2022, baada ya kuondoka Aston Villa…
Iran kufanya uchaguzi mkuu wa rais Juni 28
Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, 2024 kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne. Ripoti za vyombo vya habari vya taifa nchini Iran, zinasema kuwa…
Tanzania yang’ara ajenda ya maji kwa ustawi wa wote
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb), Waziri wa Maji amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia…
Serikali: Teknolojia na ubunifu ni muhimu kuchagiza maendeleo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam SERIKALI imesema teknolojia na ubunifu ni muhimu katika kuchagiza maendeleo katika Taifa. Pia imesema itahakikisha inakuza sayansi, teknolojia na ubunifu nchini , kwalengo la kuchagiza maendeleo na kusaidia kufanyika kwa tafiti zinazojibu changamoto…