JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Bei ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki – Kapinga

📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti 📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika…

Madereva Kibaha Mjini wampongeza Dk Shemwelekwa kwa tuzo maalum

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa mapema leo Agosti 30, 2024 amekabidhiwa TUZO MAALUM ya uongozi Bora, Upendo na kuwajali watumishi kutoka kwa Madereva 20 wa Magari na Mtambo wanaofanya kazi kwenye…

Rais Samia amwaga mabilioni kuboresha sekta ya elimu, afya Halmashauri ya Mji Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ameridhia na kuidhinisha kiasi cha fedha shilingi Bilioni 3.9 kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha miundombinu kwenye Sekta ya Elimu,afya na Utawala Halmashauri ya Mji…

Tista watangaza matokeo ya somo la elimu ya dini ya kiislamu

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Tanzania Islamic Studies Teaching Association wameipongeza Serikali na wadau kwa kuboresha mitahala ya masomo ya dini ya kiislamu na kuongeza ufaulu. Akizungumza kwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari, Makamu Mwenyekiti…

Tanzania yajipanga kutumia nishati ya nyuklia kuzalisha umeme – Dk Biteko

 Dkt. Biteko atangaza msimamo katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia  Asema mashapo 58,500 ya urani kutumika kama chanzo cha uzalishaji  Marekani kuendeleza ushirikiano na Afrika matumizi Nishati ya Nyuklia Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…

Elimu matumizi bora ya ardhi kupunguza migongano baina ya binadamu na wanyamapori

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dodoma Mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini ulirasimishwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni moja ya mikakati katika mchakato wa kuleta maendeleo endelevu. Utekelezaji wa mpango huu hauna budi kuwa mikononi mwa wanavijiji wenyewe kwa…