JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Hamas yasema waliokufa tangu kuanza kwa vita ni 32,142

Wizara ya afya ya Ukanda wa Gaza inayoongozwa na Hamas imesema leo Jumamosi kuwa takriban watu 32,142 wameuwawa huku wengine 74,412 wamejeruhiwa tangu kuanza kwa vita kati ya vikosi vya Israel na kundi la Hamas. Uharibifu unaotokana na mapigano yanayoendelea…

Waziri Mkuu afuturisha Ruangwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, akisalimiana na wananchi mbalimbali waliohudhuria Iftafri aliyoandaa  Machi 22, 2024 Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa ni sehemu ya kuonesha upendo na tukio la imani katika mwezi mtukufu wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa…

Putin kuwashughulikia wahusika shambulizi lililouwa watu 115

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amewatahadharisha wahusika wa shambulizi lililowaua watu zaidi ya 115 eneo la Crocus City Hall nchini humo kuwa atakumbana na adhabu kali. Akihutubia taifa hilo muda mchache uliopita, Putin amesisitiza kuanzia aliyewatuma hadi waliotekeleza uhalifu huo…

Benki Kuu kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni

Benki Kuu ya Tanzania imeendelea kushiriki kikamilifu katika Soko la Jumla la Fedha za Kigeni, kwa kuuza dola ya Marekani kwa benki za biashara ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kupunguza uhaba wa fedha za kigeni nchini. Kwa mujibu…

JNIA wasisitiza umuhimu wa kufuatilia taarifa za hali ya hewa kuepuka madhara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Kituo Kituo Cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) imeadhimisha siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau mbalimbali wa maendeleo, huku wakiitaka jamii…

Nchimbi afurahishwa na msimamo wa wana-CCM Pemba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema anawaheshimu na kuwakubali wana CCM wa Pemba kwa misimamo yao thabiti katika kuilinda na kuitetea CCM bila kuyumba. Dk. Nchimbi pia amewapongeza kwa…