JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mudathir Yahya akabidhiwa masandawana

Na isri Mohamed Afisa Habari wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe amemtangaza Kiungo wao Mudathir Yahya kuwa ndiye nyota wa mchezo wao dhidi ya Mamelod Sundowns utakaochezwa Jumamosi ya Machi 30, katika dimba la Mkapa. Kamwe amesema kutokana na kiwango…

Urusi yashambulia kituo cha kuhifadhi gesi Ukraine

Kituo cha chini ya ardhi cha kuhifadhi gesi nchini Ukraine kimeshambuliwa jana katika wimbi la karibuni la mashambulizi ya makombora ya Urusi kwenye vituo vya umeme. Hayo yamejiri wakati maafisa wakirejesha huduma za umeme katika miji, kuamuru ununuzi wa umeme…

Matinyi : Anga, barabara vyaimarishwa kuchochea uchumi

Na Lilian Lundo – Maelezo Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuliimarisha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kuwekeza zaidi ikiwemo kununua ndege ili kulifanya limudu kutoa huduma na kuchochea ukuaji wa sekta zingine za kiuchumi. Mkurugenzi wa Idara ya…

ACT-Wazalendo yataka NEC ijiuzulu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ijiuzulu yote kupisha kuundwa kwa Tume Mpya itakayopatikana kwa utaratibu wa ushindani. Aidha chama hicho kimetaka Mapendekezo yaliyoainishwa na Tume ya Haki…

Shaka atoa siku tano kupata majibu ujenzi ICU chini ya kiwango

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilosa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa Jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika hospitali ya wilaya hiyo lililogharimu Sh. milioni 278 ambalo ujenzi…

Serikali ya Awamu ya Sita yaendelea kufanya vizuri ukusanyaji mapato

Na Lilian Lundo – Maelezo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato…