JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TRA yatoa elimu ya mlipa kodi kwa waendesha bajaji, bodaboda

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imesema kuwa itaendelea kujenga mahusiano mazuri na waendesha bajaji na pikipiki maarufu kama bodaboda pamoja na kushiriana nao kwani kazi hiyo ni kama kazi zingine. Hayo yameelezwa leo Machi 25, 2024 na…

Nchimbi: Uwepo Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar umeondoa siasa za chuki, uhasama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK) ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu kuliko maslahi…

RC Chalamila ndege mpya Boeing B 737 -9 kuwasili Machi 26

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa taarifa kwa umma, leo Machi 25, 2024 kupitia vyombo vya habari Ofisini kwake Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila amesema ndege…

Watumishi wawili Jiji la Mbeya wahukumiwa kwa kuomba na kupokea rushwa 75,000/-

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Bw. Nelson Mwakilasa ambaye ni msaidizi wa Mkuu wa Masoko na Felister Mwanisongole ambaye ni askari mgambo, wote hao wakiwa ni watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Watumishi hao wameamuriwa kulipa faini ya…

Mwenyekiti Serikali ya Mtaa mstaafu Kilungule kizimbani kwa rushwa ya sh. 120,000

Katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imefunguliwa kesi ya Jinai Namba (Cc.6600) dhidi ya Bw. Benjamini Chales Chuma kwa mashtaka ya kuomba na kupokea rushwa kinyume na kifungu cha 15(1)(a) na 15(2), cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa…