Year: 2024
Bashungwa akagua maonesho ya sekta ya ujenzi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika…
‘Maofisa ardhi wamejigeuza madalali’
MBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo, amesema baadhi ya wataalamu wa ardhi mkoani Dodoma, wamejigeuza madalali na wanashiriki kunyang’anya wananchi wanyonge ardhi. Akichangia bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo…
Wananchi Njombe kupata msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya mama Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe CHAMA cha Mawakili wa Serikali Tanzania kimewaahidi wananchi mkoani Njombe kuwa watatumia ujuzi wao wa sheria kutatua kero mbalimbali zitakazowasilishwa kwenye kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign). Ahadi…
Tanzania yashika ukurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
Na. Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF – Nairobi. Tanzania inatarajia kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji mbadala (Alternative Executive Director) katika Kundi la Magavana wa Afrika Mashariki katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kuanzia mwezi Agosti, 2024. Katibu Mkuu…
Si majanga yote ya moto majumbani yanasababishwa na umeme wa TANESCO
📌Matumizi ya wakandarasi wasio na utaalamu (Vishoka)kutandaza nyaya (wiring)pasipo kuwa na utaalaamu wa kufanya hivyo 📌*Matumizi holela ya vyombo mbalimbambali vinavyohitaji kutumia nishati ya Umeme visivyotengenezwa kwa ubora 📌Matumizi Mabaya ya Nishati zingine vyatajwa kuongoza kama chanzo cha majanga ya…
Vifurushi vya bima ya afya Najali, Timiza mbadala wa Toto Afya Kadi
Na. WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Mfumo wa kulipia Bima za watoto kupitia Toto Afya Kadi umebadilika na kwa sasa unafanyika kupitia utaratibu wa shule na vifurushi vya bima ya afya vya najali, Wekeza na…