JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Serikali yatenga bilioni 11 kuendeleza Hospitali ya Rufaa Mara

Na WAF – Musoma, Mara Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha fedha shilingi Bilioni 11 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendeleza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere – Kwangwa, iliyopo mkoani Mara. Waziri…

Mwijuma apongeza Shirikisho la IFPI kuchagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ameupongeza uongozi wa Shirikisho la Kimataifa la Watayarishaji wa Muziki Duniani (IFPI) kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao mkuu uliofanyika leo Jijini…

TMDA Kanda ya Magharibi yakamata dawa za mil.2 za kuongeza nguvu za kiume

Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba kanda ya magharibi TDMA imekamata jumala ya daza za milioni 2 zikiwemo ‘vega’ na sigara dawa amazo ni hatari kwa matumizi. Meneja wa TFDA Kanda hiyo Dk.Christopher Migoha akitoa…

Serikali yabaini uanzishwaji wa nyumba za ibada kiholela

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Ndani, Hammad Masauni amesema kuwa wamebaini kuwepo kwa uanzishwaji holela na utitiri wa nyumba za ibada katika maeneo mbalimbali nchini. Ameyasema hayo yame leo Machi 26, 2024 wakati wa…

Waziri Jafo: Hoja 22 kati ya 25 za Muungano zapatiwa ufumbuzi

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kuwa katika kipindi cha katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utatuzi wa hoja za…