JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TANROADS: Uharibifu wa mazingira Busunzu umetokana na mabadiliko ya kimazingira

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental). Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi…

Makonda awataka wanasiasa kuacha kumtofautisha Rais Samia na Magufuli

Katibu wa NEC,Itikadi , Uenezi na Mafunzo CCM , Paul Makonda amewataka wanasiasa kuacha tabia ya kumtofautisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli. Kauli hiyo ameitoa  Mach 26,2024 jijini Dar es…

Rais Samia amuahidi ushirikiano rais mteule Senegal

RAIS Samia Suluhu Hassan amemuahidi ushirikiano wa karibu Rais mteule wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye katika kuimarisha uhusiano na tija kwa pande zote za jamhuri. Kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Rais Samia, ameandika, matarajio yake ni kuendelea…

Mtatiro awataka watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea

Na Suzy Butondo,Jamhuri Media,Shinyanga Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro amewataka watumishi wote wa manispaa kuacha kufanya kazi kwa mazoe, badala yake watoke maofisini kwenda kusikiliza kero mbalimbali za wananchi na kuzitatua kwa wakati. Agizo hilo amelitoa leo wakati…

Wawili mbaroni kwa kutengeneza na kumiliki silaha Shinyanga

Na Suzy Butondo,JamhuriMedia,Shinyanga Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limekamata silaha tano pamoja na watuhumiwa wawili kwa kosa la kutengeneza na kumiliki silaha kinyume na sheria huku likikamata vitu mbalimbali ukiwemo mtambo wa kutengenezea siraha uitwao Vice,vikiwemo bhangi, vitanda, magodoro…

Kikwete: Mapambano ya malaria yako karibu na moyo wangu

Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete amesema suala la kupambana na malaria ni jambo ambalo liko karibu na moyo wake. Aidha amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa busara wa kuanzisha Baraza…