Year: 2024
‘Ziwa Tanganyika liendelee kulindwa kusaidia jamii’
NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa Nchi Wanachama wa Ziwa Tanganyika kuendelea kulinda ziwa hilo ili lisaidie katika shughuli za kijamii. Amesema katika jitihada za kulinda ziwa hilo, Jamhuri ya…
Tundu Lissu kuwania uenyekiti CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA – Bara, Tundu Lissu ametangaza rasmi nia ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho Taifa. Akitangaza nia hiyo jijini Dar es Salaam leo Novemba 12, Lissu amesema amefikia uamzi huo…
Kiongozi Uganda aunga mkono kesi za kijeshi
Rais wa Uganda Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80 ametetea matumizi ya mahakama za kijeshi kuwashitaki raia, kufuatia malalamiko ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye. Besigye mwenye umri wa miaka 68 ameshtakiwa katika mahakama ya…
Mnada wa madini ya vito kuzinduliwa Desemba 14 Mirerani, Manyara
▪️Waziri Mavunde kuzindua Mnada Rasmi ▪️Lengo ni kuyaongezea thamani▪️Kudhibiti utoroshaji▪️Kuuzwa kwa bei ya ushidani Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara WAZIRI wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mnada wa madini ya vito unaotarajiwa kufanyika katika mji mdogo…
Watoto wawili wa familia moja wabakwa na kuambukizwa virusi vya UKIMWI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya Ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia. Victor Nyato…
Mtoto wa miaka 11 aokolewa baada ya siku 3 baharini
Mtoto wa kike wa miaka 11 kutoka Sierreleone, aliyenusurika peke yake katika ajali ya boti aliokolewa usiku wa kuamkia Jumatano baada ya kukaa kwa siku tatu baharini katika kisiwa cha Italia cha Lampedusa. Shirika la hisani la uokozi la Kijerumani…