JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

PAC yaridhika na uwekezaji na utekelezaji mradi wa SGR

Na Jumanne Magazi Makamo Mwenyeki wa Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa mitaji ya Umma (PAC), Deus Sangu amesema kamati yao imeridhika uwekezaji na utekelezaji wa mradi wa Reli ya mwendokasi SGR. Ameyasema hayo leo Machi 27,2024 wakati walipofanya ziara…

Serikali yaja na mfumo kusaidia wahamaji walio katika mazingira hatarishi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Serikali pamoja na wadau inaandaa mfumo wa rufaa kwa wahamaji walio katika mazingira hatarishi nchini utakaosaidia kutoa…

DAS Magogwa awaasa wananchi kujiepusha ukataji miti kiholela

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha KATIBU Tawala wilaya ya Kibaha , mkoa wa Pwani, Moses Magogwa amewaasa wananchi kujiepusha na ukataji miti kiholela na badala yake wajenge tabia ya kupanda miti na kuitunza kwani ndio jawabu la kupambana na uharibifu…

Mabaraza ya Ardhi na nyumba yatende haki, kwani hakuna aliye juu ya sheria -RC Kunenge

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge ametoa rai kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba kufanyakazi kwa kuhakikisha yanatenda haki kwa wananchi kwani hakuna aliye juu ya sheria. Aidha ameeleza kuwepo kwa mabaraza hayo ni…

Changamoto nane zinazowakabili wafanyabiashara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chemba ya Biashara ,Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imefanya ziara katika mikoa 14 na kubaini changamoto nane za wafanyabishara,wenye viwanda na wakulima na kushauri mamlaka husika kupita katika maeneno hayo na kufanya maboresho….

Mavunde aanza kutimiza ahadi yake ya ujenzi wa viwanja vya michezo Dodoma

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ameanza ujenzi wa viwanja vya michezo ya mpira wa kikapu (basketball), mpira wa pete (netball) na mpira wa wavu (volleyball) katika eneo la shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma. Ujenzi…